Duniani Leo August, 19 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika - SADC inataka vikwazo dhidi ya Zimbabwe viondolewe hasa katika kipindi hiki nchi hiyo inapitia hali ngumu ya kiuchumi. Mwaka huu, unaadhimisha miaka 400 tangu waafrika wa kwanza waliofanywa watumwa kuwasili ardhi ya Marekani.