Polisi watumia nguvu kuwatawanya waandamanaji Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Zimbabwe wametumia virungu na gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga serikali, katikati mwa Harare.