Duniani Leo August, 13 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Amnesty international, Japan, Uruguay na nchi nyingine, zimeonya kuwepo hatari ya watu kuingia Marekani, yakitaja kuwepo mashambulizi ya risasi. Aina mbili kati ya nne ya dawa ya majaribio inayotumika katika kutibu virusi vya Ebola katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo zaponyesha Ebola