Vijana walalamikia ajira Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Siku moja baada ya ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya Vijana chini ya kauli mbiu ya 'Kuifanyia elimu Mageuzi', baadhi ya vijana wa Kenya wanaona hakuna haja ya kuadhimisha siku vijana ikiwa waliosoma bado wanabaguliwa kupata ajira.