Tanzania yaendelea kuomboleza

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania yaendelea kuomboleza kufuatia ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu takriban 68 na kuacha wengine zaidi ya 79 wakiwa wanaendela na matibabu.