Benki ya maziwa ya mama yafunguliwa Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wanasema maziwa ya mama yana uwezo mkubwa wa kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa.Hospitali ya uzazi ya Pumwani, nchini Kenya imeunda hifadhi kubwa ya maziwa ya mama Afrika mashariki, ambayo pia ni ya pili kwa ukubwa barani Afrika,