Duniani Leo August, 8 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Marekani wamewakamata karibu wahamiaji 700 wasio na vibali, kufuatia msako katika viwanda vya kutengeneza vyakula katika jimbo la Mississippi. Na watafiti nchini Uganda wamezindua chanjo ya majaribio dhidi ya virusi vya Ebola.