Upimaji wa Virusi vya Ukimwi waonyesha mafanikio Botswana
Your browser doesn’t support HTML5
Program ya kupima na kutibu virusi vya ukimwi inaleta matokeo mazuri nchini Botswana baada ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kutoa takwimu zinazoonyesha kupungua kwa maambukizi katika jamii zilizoshiriki