Duniani Leo August, 6 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Waombolezaji katika mji wa ElPaso, Texas, wameandaa sala kwa ajili ya watu 21 waliokufa na kwa kupingwa risasi. Korea Kaskazini imesema mafunzo ya kijeshi ya pamoja kati ya Marekani na Korea Kusini yanavunja makubaliano yaliyoafikiwa kati ya nchi hizo mbili na Korea Kaskazini.