Mashambulizi ya risasi yauwa 29 Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Mashambulizi yaliyofanyika katika miji miwili ya El Paso, Texas na Dayton, Ohio, hapa Marekani, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 29, yamelaaniwa na viongozi mbalimbali ulimwenguni, akiwemo mkuu wa kanisa la Katoliki Papa Francis.