Viongozi wa dini kuhamashisha mapambano dhidi ya Ebola DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, katika mji wa Goma, Kivu kaskazini, Imeanza shughuli ya kuwahamasisha wakazi kuhusu ugonjwa wa Ebola, wakiwafikia waumini makanisani wakiwa na matumaini kwamba ujumbe huo utawafikia watu wengi na kunakili mafanikio ktika vita dhidi ya Ebola.