Makala maalumu ya thamani ya watoto wa kike sehemu ya 5

Your browser doesn’t support HTML5

Ndoa za utotoni ni tatizo ambalo linakumba sehemu nyingi duniani na kusababisha madhara makubwa katika maisha hasa ya wasichana ambao wanajikuta katika ndoa hizo bila idhini yao.