Wagombea wanaowania tiketi ya Democrat waelezea jinsi ya kumshinda Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea urais kupitia chama cha Democrat Marekani walifungua raundi ya pili ya mdahalo mjini Detroit, Michigan, kwa mfululizo wa mashambulizi dhidi ya rais Donald Trump. Lakini wademokrat hao 10 wa kwanza pia washambuliana katika sera zao , wote wakiwania ugombea wa chama hicho mwakani.