Watu watatu wauawa kwenye tamasha la chakula California
Your browser doesn’t support HTML5
Polisi katika jimbo la California, Marekani wanamtafuta mshukiwa wa pili katika shambulizi la bunduki lililouwa watu watatu na kujeruhi wengine 15 jumapili wakati wa tamasha chakula