Duniani Leo July 29, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amelaani mauaji ya watu wapatao 65 yaliyofanywa na kundi la boko haram kaskazini-magharibi ya Nigeria. Polisi wa jimbo la California wanamtafuta mshukiwa wa pili katika shambulizi la bunduki lililouwa watu watatu na kujeruhi wengine 15 kwenye tamasha chakula