Hatimaye Mueller afananua ripoti yake mbele ya kamati za bunge
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya aliyekuwa mwendesha mashtaka maalum wa Marekani, Robert Mueller, kufika mbele ya kamati mbili za baraza la wawakilishi za Congress hapa Washington jumatano, wanasiasa wa mirengo yote miwili ya Republican na Democratic, wanatafakari ni nini kitakachofuata, huku wakiendelea kutoa hisia mseto,