Duniani Leo July 25, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa mwendesha mashtaka maalum wa Marekani, Robert Mueller, kufika mbele ya kamati mbili za baraza la wawakilishi za Congress hapa Washington. Mbunge Ilhan Omar wa jimbo la Minnesota Marekani, ametaka wafuasi wake kukabiliana na ubaguzi wakiwa wanajiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao