Pompeo atembelea Marekani ya Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ameanza ukurasa mpya wa uhusiano baina ya Marekani na mataifa ya Amerika kusini kufuatia ziara yake katika nchi nne kusini na kati mwa Amerika