Waraka wa makatibu wastaafu waleta Malumbano CCM

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama tawala nchini humo CCM, wameingia katika malumbano Kufuatia waraka uliotolewa na makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho hatua inayoelezwa kusababisha msuguano wa ndani katika chama hicho na serikali.