Walaji wa Nyama Kenya wahofia uhalali ya nyama

Your browser doesn’t support HTML5

Siku chache baada ya Televisheni moja nchin Kenya kuonyesha jinsi nyama zinazouzwa madukani sio salama jijini Nairobi , wakazi wengi sasa wameaanza kufurika katika machinjio ya nyama ili kuhakishanyama wanazokula kwa ni Salama.