Duniani Leo July 22, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama tawala cha Tanzania CCM, wameingia katika malumbano Kufuatia waraka uliotolewa na makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho. Na wabunge wa chama cha republican watamuuliza maswali mwendesha mashitaka maalum Robert Mueller atakapotoa ushahidi wiki hii.