Wakimbizi kupatiwa ufumbuzi wa chakula Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Mpango wa chakula Duniani WFP limesema linafanya utaratibu kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania wa kununua mazao ya chakula tofauti kutoka kwa wakulima wa ndani kama mojawapo ya hatua za kukabiliana na changamoto ya kutoa aina moja ya chakula kwa wakimbizi kwa muda mrefu.