Washington Bureau
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na shutuma za ubaguzi alizungumza na watu waliokuwa wamejaa kwenye ukumbi wa chuo kikuu cha East Carolina huko Greenville , North Carolina jumatano jioni na kuzidi kuchochea mvutano uliojitokeza baina yake na wabunge wanne wa democratic