Zulia Jekundu Episode 235

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii ZJ inakuletea ripoti ya Lashana Lynch mwanamke wa kwanza mweusi akichukua namba 007 kwenye toleo lijalo la filamu ya James Bond. Muimbaji R.Kelly amenyimwa dhamana kufuatia mashtaka ya kesi za ngono yanayomkabili. Star Rayvanny wa Bongo Fleva anaelezea safari iliyomleta Marekani