Wabunge wamshutumu Trump kwa kutoa maneno ya kibaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Warepublican wanne waliungana na wademocrat katika baraza la wawakilishi kupitisha azimio linalopinga maneno ya kibaguzi yaliyotolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu wabunge wanne wa democratic.