Wakenya waonyesha nia ya kubadilisha katiba

Your browser doesn’t support HTML5

Huenda katiba ya Kenya ikafanyiwa marekebisho baada ya maoni ya wakenya wengi kupendekeza hayo. Katiba hii japo ni changa kwa wakenya imekuwa mzigo mkubwa hasa kutokana na idadi kubwa ya viongozi wa kisiasa.