Duniani Leo July 17, 2019
Your browser doesn’t support HTML5
Warepublican wanne waliungana na Wademocrat katika baraza la wawakilishi kupitisha azimio linalopinga maneno ya kibaguzi yaliyotolewa na rais wa Donald Trump. Mkurugenzi mkuu wa IMF , Christine Lagarde amewakilisha barua ya kujiuzulu baada ya kufanya kazi katika shirika hilo kwa miaka nane