"The Squad" wamjibu rais Trump
Your browser doesn’t support HTML5
Wanawake wanne wabunge wa Demokratic wanaojulikana kama “ the Squad” wamemshutumu rais Donald Trump kwa kuleta mgawanyiko nchini na kujaribu kuvuruga msimamo wao wa kuonyesha sera za uhamiaji, huduma za afya , na kodi kuwa zimeshindwa.