Wakimbizi kutoka Congo wafurika Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyakazi wa misaada Uganda wanasema kuwa idadi ya wakimbizi kutoka jamhuri ya kidemokrasi ya Congo umeongezeka mara mbili tangu mwezi June na hivyo kutumia ufadhili wa masuala ya kibinadamu