Duniani Leo July 16th, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wanne wabunge wa Demokratic wanaojulikana kama “ the Squad” wamemshutumu rais Donald Trump kwa kuleta mgawanyiko nchini Marekani. Kituo cha Redio cha ghetto ilianzisha taarifa ya habari inayosomwa kwa lugha Sheng kuwavutia vijana kupata habari nchini Kenya