Ebola yafika Goma

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Congo imeomba wanainchi kuwa watulivu na kushirikiana na wizara ya afia na shirika la afya duniani WHO, baada ya ugonjwa wa Ebola kufika kwenye mji wa Goma.