Wanawake Kenya bado wana kazi ya kutafuta usawa wa kijinsia kwenye uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya bado haijafikia usawa wa jinsia katika uongozi na usimamizi wa taasisi mbali mbali, licha ya idadi ya wanawake wanaochaguliwa kupitia kura kuongezeka.