Zulia Jekundu Episode 234

Your browser doesn’t support HTML5

Zulia Jekundu wiki hii Disney kwa mara ya kwanza imemchagua mwanamke mweusi kwenye uhusika ambao ulitungwa wa mtu mweupe. Filamu ya Mulan1998 imekarabatiwa na itatoka mwakani.