Duniani Leo July 12th, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Msemaji wa baraza la kijeshi linaloongoza Sudan amesema vikosi vya usalama vinawasaka maafisa zaidi walioshiriki katika jaribio la mapinduzi. Maafisa wa uhamiaji Marekani wanaanza msako jumapili hii kuwalenga takriban watu 2000 wasiokuwa na vibali ambao tayari wamepewa agizo la kuondoka nchini.