Duniani leo July 11, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya mabalozi 20 wametuma barua katika baraza la haki za binadamu la umoja wa mataifa huko Geneva wakishutumu China kukiuka haki za binaadamu. Uingereza imesema leo meli za Iran zilijaribu kuingilia meli kubwa za mafuta zilizokuwa zinapita kwenye lango la Homuz.