Kukosa muelekeo ni tatizo ya baadhi ya viongozi - Paul Kagame
Your browser doesn’t support HTML5
Rais Paul Kagame wa Rwanda akishirikiana na mchungaji maarufu wa Marekani Rick Waren wamesema baadhi ya mambo kwenye uongozi wa watu na mataifa yanashindwa kwenda vema kutoka na viongozi kukosa mwelekeo