Hisia tofauti zaibuka baada ya hukumu ya Bosco Ntaganda

Your browser doesn’t support HTML5

Mapema wiki hii mahakama ya ICC mjini Hague ilimkuta na hatia kiongozi wa zamani wa waasi nchini Congo Bosco Ntaganda katika mashitaka ya jinai ya kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.