Kenya yanuia kukuza uchumi kwa kuboresha miundo mbinu ya baharini

Your browser doesn’t support HTML5

Mataifa ya Afrika Mashariki yanajikakamua kuimarisha uchumi wao kupitia uchumi wa baharini. Kenya inatekeleza sera pana kuhusu uchumi wa baharini ikiangazia Uchukuzi wa baharini, rasilimali na pia Ajira kwa vijana.