Mauwaji ya vijana yapungua Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana wengi katika mitaa duni wameuwawa kwa kile maafisa wa polisi wanadai walikuwa wahalifu kulingana, ripoti ya shirika la human rights watch.