Duniani leo July 8, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Afrika imepiga hatua kubwa kuelekea mkataba wa soko huria utakaohusisha karibu mataifa yote barani humo. Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa vita Icc Imemkuta na hatia muasi wa zamani wa congo Bosco Ntaganda kwa makosa ya uhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya binadamu.