Marekani yasherehekea miaka 243 ya uhuru

Your browser doesn’t support HTML5

Sherehe za uhuru wa Marekani zimeadhimishwa tofauti mwaka huu katika mji wa Washington, Dc, kwa kuwepo maonyesho ya nguvu za kijeshi, na rais Donald Trump akitoa hotuba kuhusu uzalendo.