Hali ya usalama yanukia Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Uongozi wa baraza la kijeshi –MTC la Sudan na wanaharakati wanaopenda demokrasia wamefikia makubaliano kushirikiana madaraka wakati wa kipindi cha mpito kuelea kwenye utawala wa kiraia , ikiwemo kuunda serikali itakayoongozwa na waziri mkuu