Zulia Jekundu Episode 231

Your browser doesn’t support HTML5

Tamasha la nne la Afrika Film Festival la TAFF linalofanyika Dallas Texas kila mwaka limemalizika kwa watengeneza kuangalia filamu, kushiriki katika warsha hatimaye kutunukiwa tuzo. Na mwanamuziki Lil NasX atangaza rasmi kuwa yeye ni shoga.