Duniani leo July 5, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Sherehe za uhuru wa Marekani zimeadhimishwa tofauti mwaka huu katika mji wa Washington, Dc kwa kusisitiza uzalendo .Viongozi wa baraza la kijeshi –MTC la Sudan na wanaharakati wanaopenda demokrasia wamefikia makubaliano kushirikiana madaraka .