Walikuwa watumwa wadai fidia Mauritania
Your browser doesn’t support HTML5
Watumwa walioachiliwa huru nchini Mauritania mpaka hivi leo bado wanaendelea kukumbwa na vikwazo. Hakuna unafuu. Mwaka 1981, nchi hiyo ilipiga marufuku utumwa wa kisasa