Harris Kamala aungoza kwenye kura za maoni

Your browser doesn’t support HTML5

Kura mpya za maoni zinaonyesha seneta wa California anayewania uteuzi kugombea urais, Kamala Harris amepanda zaidi baada ya kufanya vizuri katika mdahalo wa Democrat wa wiki iliyopita