Duniani Leo July 4, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani inasherehekea leo inasherehekea kuathimisha miaka 243 tangu lipojipatia uhuru wake kutoka kwa Mwingereza.Umoja wa mataifa umesema taarifa za mashambulizi ya bomu Libya yaliyouwa takriban watu 44 na dazani wengine kujeruhiwa ni sawa na uhalifu wa vita.