Watu 11 wauawa kwenye maandamano Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Hali nchini Sudan inazidi kuwa mbaya baada ya watu takriban 11 kuuwawa kufuatia maandamano yanayodai kupatikana haraka utawala wa kiraia nchini humo