Trump amaliza ziara ya siku tano ya barani Asia

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump amerejea hapa Marekani baada ya ziara ya siku tano. Trump alishiriki mkutano wa G20 chini Japan, na baadaye kutembelea mpaka wa Korea Kaskazini na Korea Kusini.