Nyamwisi ajiunga na rais Felix Tshisekedi wa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia tofauti zinajitokeza mashariki mwa DRC baada ya mmoja wa viongozi wa upinzani nchini humo Mbusa Nyamwisi kutangaza anaondoka kambi ya Upinzani na kujiunga na Rais Mpya Felix Tshisekedi